Welcome to YTUnity

One free SpiderTaz Network account works across every network site.

"ZA MWIZI SIYO AROBAINI NI PINGU! - TUSWICH OFF NAMBA ZISIZOSAJILIWA NA NIDA" - KATAMBI ATOA MAAGIZO

Global TV Online Video Today

Description

"ZA MWIZI SIO AROBAINI NI PINGU! - TUSWICH OFF NAMBA ZISIZOSAJILIWA NA NIDA" - KATAMBI ATOA MAAGIZO

Waziri wa mambo ya ndani, Mhe. Patrobas Katambi, akizungumza mbele ya Waziri Mkuu kuhusu umuhimu wa vitambulisho vya NIDA katika kuimarisha ulinzi, usalama na kudhibiti wimbi la utapeli nchini.

Mhe. Katambi ametoa agizo kwa kampuni zote za mawasiliano nchini kuzima (switch off) namba zote za simu ambazo hazijasajiliwa kwa alama za vidole kupitia mfumo wa NIDA ili kukomesha vitendo vya utapeli vinavyoendelea kuumiza wananchi.


#Katambi #NIDA #Habari #GlobalTVOnline #Serikali #WaziriMkuu
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com

Featured creators

Creators on the SpiderTaz Network

Become a creator →