Welcome to YTUnity

One free SpiderTaz Network account works across every network site.

MOSSAD YAPENDEKEZA MAREKANI NA ISRAEL KUISHAMBULIA TENA IRAN -BAADA MKUU WA MOSSAD KUZURU WASHINGTON

Global TV Online Video Today

Description

MOSSAD YAPENDEKEZA MAREKANI NA ISRAEL KUISHAMBULIA TENA IRAN -BAADA MKUU WA MOSSAD KUZURU WASHINGTON


Katika ripoti hii maalum, tunakuletea undani wa taarifa za kiintelijensia kufuatia ziara ya mkuu wa shirika la ujasusi la Israel (Mossad), Roman Gofman, nchini Marekani.

Gofman amekutana na maafisa wakuu wa serikali ya Marekani mjini Washington, akiwemo mkurugenzi wa CIA John Ratcliffe, pamoja na mjumbe maalum Steve Witkoff kule Miami. Katika mazungumzo hayo, Israel imependekeza uwezekano wa Marekani na Israel kufanya operesheni ya pamoja ya kijeshi dhidi ya Iran ili kuongeza shinikizo kufuatia mivutano ya kiusalama Mashariki ya Kati.

Tazama uchambuzi kamili kufahamu msimamo wa Marekani, tathmini ya kijasusi iliyowasilishwa, na jinsi hatua hii inavyoweza kubadili upepo wa usalama duniani.

#Mossad #Israel #Marekani #Iran #HabariZaKimataifa #GlobalTVOnline


============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com

Featured creators

Creators on the SpiderTaz Network

Become a creator →