Description
CHALAMILA-"VIONGOZI TUJIKITE KWENYE MIRADI INAYOGUSA MAISHA YA WANANCHI"
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, akizungumza kuhusu umuhimu wa viongozi na wadau kujikita kwenye uwekezaji wa miradi mikubwa yenye tija na inayoacha alama kwa wananchi.
Katika hotuba hii, Chalamila anagusia mipango ya kimkakati ya ujenzi na uboreshaji wa miundombinu ya michezo ikiwemo uwanja wa TEFA, kuanzishwa kwa kituo cha kulea vipaji (Temeke Soccer Academy), pamoja na falsafa ya kutekeleza miradi mikubwa kwa maslahi mapana ya kiuchumi na maendeleo ya vijana.
#AlbertChalamila #TFF #Temeke #GlobalTVOnline #HabariZaMichezo #AlbertChalamila #GlobalTVOnline #Temeke #TFF #MichezoTanzania #HabariLeo
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com
