Welcome to YTUnity

One free SpiderTaz Network account works across every network site.

MELI YA MV NEW MWANZA YAGONGA MAWE YA BISMARCK NDANI YA ZIWA VICTORIA...

Global TV Online Video Today

Description

MELI YA MV NEW MWANZA YAGONGA MAWE YA BISMARCK NDANI YA ZIWA VICTORIA...

Meli ya MV Mwanza (Hapa Kazi Tu) imegonga mwamba maarufu wa Bismarck Rock ndani ya Ziwa Victoria jijini Mwanza wakati wadau wa sekta ya uchukuzi wakiwa kwenye ziara ya utalii wa majini.

Tukio hilo lilitokea baada ya juhudi za nahodha kukwepa mgongano na kivuko cha abiria kilichokuwa kikitokea Sengerema. Tazama video hii kushuhudia tukio zima na kusikia maelezo kutoka kwa mashuhuda wa tukio hilo.

#MVMwanza #ZiwaVictoria #BismarckRock #HabariMwanza #GlobalTVOnline
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com

Featured creators

Creators on the SpiderTaz Network

Become a creator →