Welcome to YTUnity

One free SpiderTaz Network account works across every network site.

SEBA -"BASATA WANGENIBANA MIMI - MWANANGU HAVALISHWI SINGLENDI NA MSULI"

Global TV Online Video Today

Description

SEBA -"BASATA WANGENIBANA MIMI - MWANANGU HAVALISHWI SINGLANDI NA MSULI"

Muigizaji nguli wa filamu nchini, Seba (maarufu kama Seba wa Misukosuko), ameweka wazi ukweli kuhusu video zilizosambaa mitandaoni zikimuonyesha akiwa mwenye hasira na kuzua taharuki wakati wa sherehe ya mtoto wake wa kiume.

Katika mahojiano haya ya kipekee na Global TV Online, Seba anaeleza sababu iliyomfanya amnyang'anye kipaza sauti (mic) sherehe hiyo, kupinga vikali kamati kumvalisha mtoto wake singlandi na msuli hadharani, hofu ya kufungiwa na BASATA, pamoja na msimamo wake thabiti kuhusu malezi ya mtoto wa kiume. Pia amezungumzia ukimya wake kwenye tasnia ya filamu na matarajio ya kurudi kwenye kioo.

#Seba #Misukosuko #GlobalTV #GlobalTVOnline #BongoMovie #TanzaniaMedia #HabariZaMastaa



============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com

Featured creators

Creators on the SpiderTaz Network

Become a creator →