Welcome to YTUnity

One free SpiderTaz Network account works across every network site.

"HATUJALALA TANGU APOTEE!" - DC KILOSA AFICHUA MAZITO KUPOTEA KWA DEREVA BODABODA KILOSA...

Global TV Online Video Today

Description

"HATUJALALA TANGU APOTEE!" - DC KILOSA AFICHUA MAZITO KUPOTEA KWA DEREVA BODABODA KILOSA...

Mkuu wa Wilaya akizungumza na wananchi kufuatia kupotea kwa kijana Hassan Selimani (miaka 24), dereva wa bodaboda aliyetoweka baada ya kubeba abiria kutoka Maguha kuelekea Mtumbatu.

Pikipiki yake imepatikana kupitia mfumo wa GPS pamoja na baadhi ya vielelezo, huku vyombo vya ulinzi na usalama (Jeshi la Polisi) vikiendelea na msako mkali usiku na mchana kubaini alipo. Wananchi wametakiwa kutoa ushirikiano na kuacha uvumi wakati uchunguzi ukiendelea.




============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com

Featured creators

Creators on the SpiderTaz Network

Become a creator →