Description
#PART 1: MWANZO-MWISHO JINSI ALIVYOHUKUMIWA TUNDU LISSU
Fuatilia kwa kina matukio ya mahakamani wakati shtaka zito la uhaini dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, likisomwa rasmi mbele ya Jaji Nduguru.
Kwenye video hii, utapata maelezo kamili ya kile kilichojiri mahakamani, maneno na kauli zilizosomwa kama ushahidi unaodaiwa kuashiria uhamasishaji wa uasi, pamoja na mwenendo mzima wa kesi hiyo inayofuatiliwa kwa ukaribu na mamilioni ya Watanzania.
#TunduLissu #KesiYaUhaini #GlobalTVOnline #HabariMpya #MahakamaKuu #TunduLissu
#KesiYaUhaini
#GlobalTVOnline
#CHADEMA
#HabariZaTanzania
#Mahakama
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com
