Description
TRUMP, PUTIN NA XI JING PING WASALIMIANA NA KUPIGA PICHA PAMOJA - MKUTANO WA APEC CHINA
Marais watatu wenye nguvu zaidi duniani—Donald Trump (Marekani), Vladimir Putin (Urusi), na Xi Jinping (China)—wamekutana ana kwa ana mjini Shenzhen, China, wakati wa mkutano wa kilele wa kiuchumi wa APEC.
Viongozi hao wameonekana pamoja wakisalimiana na kupiga picha ya pamoja kabla ya mazungumzo maalum ya kihistoria ya pande tatu (trilateral meeting). Tazama video hii kufahamu undani wa tukio hili linalotikisa diplomasia, uchumi, na siasa za kimataifa.
#Trump #Putin #XiJinping #APEC #HabariZaKimataifa #GlobalTVOnline
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com
