Description
MELI YA MV NEW MWANZA KUGONGA MWAMBA! - RC MWANZA AFICHUA "ILIPAKI MUDA MREFU" - UCHUNGUZI KUFANYIKA
Mkuu wa Mkoa azungumza na kutoa taarifa rasmi kufuatia tukio la meli ya MV Mwanza (Hapa Kazi Tu) kugonga mwamba katika Ziwa Victoria. Fuatilia kwa kina maelezo kuhusu hali ya abiria, hatua zilizochukuliwa na serikali, pamoja na maagizo yaliyotolewa na mamlaka husika kuhusiana na usalama wa usafiri huo majini.
#MVMwanza #MkuuWaMkoa #HabariMpya #GlobalTVOnline #ZiwaVictoria #Tanzania
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com
