Description
"NANI KAWAAMBIA NI MALI YA RAIS? - MWIGULU AWATOLEA UVIVU MAAFISA ARDHI
Waziri Mwigulu Nchemba amewatolea uvivu maafisa ardhi kuhusu migogoro ya fidia na maeneo ya wananchi, akiweka wazi maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu ulipaji wa fidia stahiki kwa wananchi kabla ya kupisha uwekezaji.
Tazama kauli yake akionya tabia ya maafisa ardhi kutumia kisingizio cha "ardhi ni mali ya Rais" kuwanyanyasa wananchi na kudhulumu maeneo yao.
#MwiguluNchemba #Ardhi #Habari #GlobalTVOnline #Tanzania
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com
