Welcome to YTUnity

One free SpiderTaz Network account works across every network site.

"YANGA INA ARDHI ILA HAINA PESA" - HERSI AFICHUA UKWELI MKATABA NA GSM KUHUSU UWANJA MPYA

Global TV Online Video Today

Description

"YANGA INA ARDHI ILA HAINA PESA" - HERSI AFICHUA UKWELI MKATABA NA GSM KUHUSU UWANJA MPYA

Rais wa Klabu ya Yanga, Eng. Hersi Said, amefunguka mazito na kuweka wazi ukweli wote kuhusu mradi wa ujenzi wa uwanja mpya wa Yanga eneo la Jangwani.

Katika maelezo yake yenye uzito mkubwa, Hersi amefichua mikakati iliyofikiwa kati ya klabu, mfanyabiashara GSM, pamoja na Serikali kupitia Mwanasheria Mkuu wa Serikali jijini Dodoma.

Ameeleza wazi: "Yanga ina ardhi lakini haina fedha, na GSM ameleta fedha huku sisi tukiwa na ardhi..."

Tazama video hii mwanzo hadi mwisho kusikia njia tatu (3) ambazo Serikali imezitoa kusaidia kufanikisha ujenzi wa uwanja huu wa kihistoria, pamoja na hatua rasmi za makubaliano zilizofikiwa.

#YangaSC #EngHersi #GSM #UwanjaWaYanga #Jangwani #SokaLaBongo #GlobalTVOnline #YangaSC #EngHersi #UwanjaWaYanga #GSM #TimuYaWananchi #Jangwani #LigiKuuBara #NBCPL #GlobalTVOnline



============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com

Featured creators

Creators on the SpiderTaz Network

Become a creator →