Welcome to YTUnity

One free SpiderTaz Network account works across every network site.

WAZIRI MKUU -"NAKERWA NA MIGOGORO HATUWEZI KUPIGA HATUA - KUGOMBANA SIO UONGOZI"

Global TV Online Video 2 days ago

Description

WAZIRI MKUU -"NAKERWA NA MIGOGORO HATUWEZI KUPIGA HATUA - KUGOMBANA SIO UONGOZI"

Waziri Mkuu ametoa kauli nzito akieleza kukerwa na migogoro ya mara kwa mara inayotokea kwenye Halmashauri na Manispaa mbalimbali nchini. Akizungumza kwenye mkutano wa ALAT, amesisitiza kuwa uongozi si cheo wala kugombana na kila mtu, bali ni wajibu wa kuwatumikia wananchi wenye shida.

Pia, amegusia kuhusu utekelezaji wa miradi mikubwa ya maendeleo kama Dira ya Taifa, ujenzi wa reli ya SGR, pamoja na masuala ya stahiki na posho za madiwani kote nchini.


#GlobalTVOnline #WaziriMkuu #Habari #ALAT #Madiwani #SiasaZaTanzania


============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com

Featured creators

Creators on the SpiderTaz Network

Become a creator →