Description
WANANDOA WALALA NJE KISA UGOMVI WA MKE NA MDOGO WAKE - "WANADAIANA MILIONI 2"...
Familia moja katika eneo la Zinga kwa Awazi, Wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani, imejikuta katika simanzi nzito baada ya kutupiwa vyombo vyao nje kufuatia mgogoro mzito wa kiwanja na nyumba unaohusisha ndugu.
Bwana Hamis Juma Msuya na mkewe Judith wanaeleza kwa uchungu jinsi mgogoro ulivyoanzia kwenye ugomvi wa mali ndogo (jiko na deki) hadi kufikia madai ya shilingi milioni 2 mahakamani, hatua iliyopelekea nyumba yao waliyojenga na kuishi kuuzwa na wao kutolewa nje na madalali licha ya kudai kuwa na hati halali.
Fuatilia mkasa huu mzima kuanzia mwanzo hadi mwisho ujionee ushuhuda wa pande zote na majibu ya viongozi wa eneo hilo.
#GlobalTVOnline #MgogoroWaArdhi #Bagamoyo #HabariZaHiviPunde #TanzaniaNews
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com
