Welcome to YTUnity

One free SpiderTaz Network account works across every network site.

UTANI WA MWIGULU KWA SIMBA SC - "PESA IPO CASH HAIPO BENKI"...

Global TV Online Video Today

Description

UTANI WA MWIGULU KWA SIMBA SC - "PESA IPO CASH HAIPO BENKI"...

Waziri mkuu Mwigulu Nchemba, ameibua vicheko na gumzo baada ya kuweka utani wa aina yake kwa klabu ya Simba SC kuhusu fedha taslimu (cash) na masuala ya benki wakati wa hafla ya uchangiaji. Tazama video hii mwanzo hadi mwisho uone alichokisema na namna ukumbi ulivyolipuka kwa vicheko!


#MwiguluNchemba #SimbaSC #GlobalTVOnline #HabariZaMichezo #UtaniWaMwigulu

============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com

Featured creators

Creators on the SpiderTaz Network

Become a creator →