Description
TOP C AMPIGIA MAGOTI MADEE AMWAMBIA -"HESHIMA YANGU INAGARAGARA"
Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Flava, Top C, anayetamba na kibao chake cha kihistoria cha 'Sababu ya Ulofa', amefunguka mazito akiwa Mapinga, Bagamoyo.
Katika mahojiano haya ya kipekee na Global TV Online, Top C ameeleza jinsi ngoma hiyo ilivyotengenezwa studio za Sharobaro Records na Bob Junior, siri ya sauti ya Alikiba kusikika kwenye wimbo huo, jinsi marehemu Sharo Milionea, Shilole na H Baba walivyoshiriki kwenye video bila malipo, na namna alivyopata shilingi milioni saba kwa mara ya kwanza.
Pia, Top C ametoa wito mzito kwa Madee na wadau wa muziki kumkumbuka kwenye maadhimisho ya Miaka 30 ya Bongo Fleva ili kurudisha heshima yake inayopotea.
#TopC #SababuYaUlofa #GlobalTVOnline #BongoFlava #Alikiba #Madee #Miaka30YaBongoFleva #Shilole #SharoMilionea
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com
