Welcome to YTUnity

One free SpiderTaz Network account works across every network site.

"SISI SIYO MACHAWA - NI WAZALENDO" - VIONGOZI WA DARTU UVCCM WAFUNGUKA MRADI WA KUSAKA VIPAJI

Global TV Online Video 2 days ago

Description

"SISI SIO MACHAWA, NI WAZALENDO" - VIONGOZI WA DARTU UVCCM WAFUNGUKA MRADI WA KUSAKA VIPAJI








Global TV imezungumza na viongozi wa UVCCM Tawi la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Tumaini (DarTU) kuhusu maandalizi ya tukio kubwa la *DarTU–UVCCM SAKA VIPAJI, litakalofanyika tarehe **23 Desemba 2026*.

Katika siku hiyo, kutakuwa na utoaji wa tuzo kwa wadau mbalimbali waliotoa mchango katika kuendeleza vijana na vipaji. Aidha, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM, *Dkt. Samia Suluhu Hassan*, anatarajiwa kutunukiwa tuzo maalumu ya heshima kutoka DarTU kwa kushirikiana na UVCCM Tawi la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Tumaini.


#GlobalTVOnline #UVCСM #SakaVipaji #SamiaSuluhuHassan #VipajiVyaVijana


============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com

Featured creators

Creators on the SpiderTaz Network

Become a creator →