Description
SIKIA VIJEMBE VYA MWIGULU: “UKIALIKWA NA TAASISI INAYOFANYA VIBAYA - UNAPATA SABABU YA KUTOA UDHURU”
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akizungumza wakati wa maadhimisho ya miaka 40 ya Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH), ametoa vijembe vizito kwa taasisi za umma zinazofanya vibaya, akieleza namna viongozi wanavyopata udhuru kukwepa mialiko yao huku akipongeza utendaji mzuri na uadilifu wa COSTECH.
#MwiguluNchemba #COSTECH #GlobalTVOnline #Habari #Bunge #Tanzania
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com
