Description
RC BABU AWAKA "NINI KIMETUPATA WANA OLD MOSHI?" - AAGIZA MITAMBO YA GONGO KUKAMATWA!...
Mkuu wa Mkoa (RC) atoa agizo zito na kuanzisha msako mkali dhidi ya utengenezaji na uuzaji wa pombe haramu (gongo) pamoja na biashara ya mirungi mkoani Kilimanjaro (Moshi).
RC amewataka viongozi wa wilaya, wakuu wa polisi, na maofisa biashara kuingia mitaani kukamata mitambo ya gongo, huku akiwaasa vijana kuachana na ulevi uliopitiliza na badala yake wajikite katika kufanya kazi za kujiingizia kipato halali.
#Moshi #Kilimanjaro #HabariZaKitaifa #GlobalTVOnline
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com
