Description
RAIS SAMIA ACHANGIA MIL 200 - BASHE APIGIWA LIVE - MWIGULU AONGOZA HARAMBEE UJENZI OFISI ZA BAKWATA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amechangia kiasi cha shilingi milioni 200 kufanikisha harambee ya ujenzi wa ofisi za BAKWATA Tabora. Harambee hiyo imeongozwa na Waziri Mkuu wa Tanzania Mwigulu Lameck Nchemba, wakiwemo na viongozi mbalimbali wa kiserikali na kidini, huku michango mbalimbali ikitolewa mubashara (live) kufikia lengo lililokusudiwa.
Tazama tukio zima jinsi michango ilivyokusanywa na taarifa kamili ya fedha zilizopatikana.
#RaisSamia #HusseinBashe #BAKWATA #GlobalTVOnline
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com
