Description
PUTIN ATUA CHINA - APOKELEWA KWA HESHIMA - AZUNGUMZA NA XI KABLA YA KUKUTANA NA TRUMP
PUTIN ATUA CHINA: Apokelewa kwa Heshima Kubwa, Azungumza na Xi Jinping Kabla ya Mkutano na Trump
Rais wa Urusi, Vladimir Putin, amewasili mjini Shenzhen, China kushiriki mkutano wa kilele wa kiuchumi wa Asia-Pacific (APEC). Ziara hii inajiri kuelekea mkutano wa kihistoria utakaowakutanisha viongozi watatu wenye ushawishi mkubwa duniani: Vladimir Putin, Rais Donald Trump wa Marekani, na Rais Xi Jinping wa China.
Kabla ya meza ya pande zote tatu, Putin amefanya mazungumzo ya ana kwa ana na Xi Jinping yaliyolenga kuimarisha diplomasia, biashara, na ushirikiano wa kiuchumi na kiteknolojia kati ya Moscow na Beijing.
#Putin #XiJinping #Trump #GlobalTVOnline
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com
