Description
🎬 NAKUPENDA Ep 13- V1
Mzozo mzito unaibuka kwenye familia baada ya Prisca kushinikizwa kuolewa na James. Wazazi wake wanaweka msimamo mkali na kumpa sharti zito kuwa asipokubali ndoa hiyo, watamnyima radhi na hatakuwa mtoto wao tena. Je, Prisca atakubali shinikizo hili au atafuata kile moyo wake unachotaka?
#Nakupenda #NakupendaSeries #GlobalTVOnline #TamthiliaYaKiswahili #BongoMovie
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com
