Description
🎬 NAKUPENDA Ep 12- V1
Karibu kutazama sehemu ya 12 ya tamthilia yetu ya kusisimua ya NAKUPENDA.
Katika sehemu hii, mambo yanazidi kupamba moto pale wazazi wanapofika bila kutarajiwa baada ya kuletwa na James. Je, nini kitafuata kwenye safari ya maisha ya Priska na ahadi zilizowekwa? Usikose kufuatilia mwanzo hadi mwisho ujionee mikasa, mapenzi, na maamuzi magumu yanayojitokeza.
#Nakupenda #GlobalTVOnline #TamthiliaYaKiswahili #BongoDrama #Nakupenda #NakupendaEp12 #GlobalTVOnline #TamthiliaYaKiswahili #BongoDrama #SwahiliSeries #Tamthilia
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com
