Description
MWIGULU - "WAZAZI WANGU HAWAJUI KUSOMA WALA NAFASI YANGU SERIKALINI!" -ATOA USHUHUDA WA MAISHA YAKE
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, amefunguka kuhusu safari ya maisha yake na jinsi alivyopambana kufika alipo licha ya kutoka katika familia duni.
Akizungumza na wanafunzi na vijana, Dkt. Mwigulu ameeleza kuwa wazazi wake hawakuwahi kwenda shule na hawajui kusoma wala kuandika, lakini bidii na ufaulu wake masomoni ("performance") ndiyo vimekuwa msaada na nguzo kuu katika mafanikio yake ya kielimu na kiuongozi serikalini.
#MwiguluNchemba #Inspiration #GlobalTVOnline #wazirimkuu
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com
