Welcome to YTUnity

One free SpiderTaz Network account works across every network site.

MAREKANI YATHIBITISHA KUISHAMBULIA IRAN - YALENGA MAENEO YA KURUSHIA MAKOMBORA YA IRGC

Global TV Online Video Today

Description

MAREKANI YATHIBITISHA KUISHAMBULIA IRAN - YALENGA MAENEO YA KURUSHIA MAKOMBORA YA IRGC


Marekani imethibitisha kufanya mashambulizi ya kijeshi kwenye kisiwa cha Qeshm nchini Iran, yakilenga maeneo ya kurushia makombora yanayotumiwa na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).

Kwa mujibu wa maafisa wa kijeshi wa Marekani, operesheni hiyo ilitekelezwa na ndege za kivita kwa kutumia silaha za kisasa zilizolenga shabaha maalum, kama hatua ya kujilinda kufuatia mashambulizi dhidi ya vikosi na mali za Marekani Mashariki ya Kati.

#Marekani #Iran #HabariZaKimataifa #GlobalTVOnline


============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com

Featured creators

Creators on the SpiderTaz Network

Become a creator →