Welcome to YTUnity

One free SpiderTaz Network account works across every network site.

MAREKANI YAHOFIA IRAN INAWEZA KUSHAMBULIA WASHINGTON KWA BOMU CHAFU LA MIONZI-MAAFISA WACHUKUA HATUA

Global TV Online Video Yesterday

Description

MAREKANI YAHOFIA IRAN INAWEZA KUSHAMBULIA WASHINGTON KWA BOMU CHAFU LA MIONZI-MAAFISA WACHUKUA HATUA


Marekani yahofia mipango ya Iran kutekeleza mashambulizi jijini Washington DC kwa kutumia silaha ya "bomu chafu" (dirty bomb) lenye mionzi au kemikali dhidi ya maafisa waandamizi wa utawala wa Donald Trump.

Kwa mujibu wa taarifa za kiintelijensia zilizoripotiwa na kituo cha televisheni cha CNN, mamlaka za Marekani zimeanza kuchukua tahadhari za kiusalama baada ya kunasa mawasiliano yanayoashiria uwepo wa vifaa vinavyoweza kutumika kutengeneza vilipuzi hivyo ndani ya nchi.

#GlobalTVOnline #Marekani #Iran #DonaldTrump #HabariZaKimataifa

============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com

Featured creators

Creators on the SpiderTaz Network

Become a creator →