Description
MAAJABU! ASIMULIA KUIKUTA QURAN CHINI YA BAHARI IKIWA IMEFUNGUKA AYA YA NABII NUHU (AS)..
Simulizi ya kusisimua na ya kustaajabisha ya mzamiaji Ian Hanget aliyekutana na kitabu cha Quran chini ya kina kirefu cha bahari katika kisiwa cha Mauritius.
Kikubwa kilichowashangaza wengi ni jinsi kurasa za kitabu hicho zilivyokutwa zimefungukia Surat Al-A'raf, aya ya 64—aya inayoelezea habari za Nabii Nuhu (A.S) na watu wake waliozamishwa na maji ya gharika. Je, tukio hili linatufundisha nini kiimani na kifikra? Ungana nasi mwanzo hadi mwisho kupata undani wa kisa hiki cha maajabu.
Kumbuka kusubscribe, kulike, kuacha maoni yako, na kushare video hii na wengine!
#Quran #Maajabu #GlobalTVOnline #NabiiNuhu #Mauritius #DiniYaKiislamu #Quran #Maajabu #GlobalTVOnline #NabiiNuhu #Kiswahili #Mauritius
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com
