Description
🔴#LIVE:RAIS SAMIA KUISAKA BILIONI 25 MATIBABU ya MOYO kwa WATOTO-DAKTARI BINGWA ANAZUNGUMZA
EXCLUSIVE INTERVIEW na Dkt. Naizihijwa Majani, Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo na Mkurugenzi Mtendaji wa Heart Team Africa Foundation (HTAF), kupitia kipindi cha FRONT PAGE cha Global TV na Global Radio.
Anazungumzia mkakati wa harambee ya kukusanya Shilingi Bilioni 25 kwa ajili ya kugharamia matibabu ya watoto 1,000 wenye matatizo ya moyo nchini, kupitia 'HTAF Gala Dinner 2026' itakayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muunganowa wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.
MPIGIE KURA GodMuya... KUPITIA LINK HIYO
https://samiaawards.tz/mshiriki/260246
TANGAZA NA FRONTPAGE SASA TUPIGIE. 0687 531 251
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com
