Description
IRAN YAZISHAMBULIA KUWAIT NA BAHRAIN KWA MPIGO BAADA YA MASHAMBULIZI YA MAREKANI QESHM
Jeshi la Iran limetangaza kushambulia maeneo na kambi za kijeshi zinazotumiwa na Marekani nchini Kuwait na Bahrain, ikiwemo kambi ya Ali Al Salem na Sheikh Isa, kwa kutumia ndege zisizo na rubani (drones) na makombora. Hata hivyo, mifumo ya ulinzi wa anga ya Bahrain na Kuwait imeripotiwa kuzuia mashambulizi hayo huku Marekani ikikanusha madai ya uharibifu.
#Iran #Marekani #Kuwait #Bahrain #HabariZaKimataifa #GlobalTVOnline
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com
