Welcome to YTUnity

One free SpiderTaz Network account works across every network site.

IRAN YASHAMBULIA MIFUMO YA RADA ZA KIJESHI ZA MAREKANI KWENYE KAMBI YA KIJESHI YA BAHRAIN

Global TV Online Video Yesterday

Description

IRAN YASHAMBULIA MIFUMO YA RADA ZA KIJESHI ZA MAREKANI KWENYE KAMBI YA KIJESHI YA BAHRAIN

Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (IRGC) limeripoti kushambulia mifumo ya rada za kijeshi za Marekani iliyopo katika Kambi ya Anga ya Sheikh Isa nchini Bahrain kwa kutumia ndege zisizo na rubani (drones).

Shambulizi hili limeelezwa kuwa jibu la Iran dhidi ya kile inachokiita ukiukaji wa mara kwa mara wa anga yake unaofanywa na ndege za Marekani. Kwa upande mwingine, Bahrain imeeleza kuzuia mashambulizi hayo, huku tahadhari za kiusalama zikiongezeka katika ukanda wa Mashariki ya Kati na Ghuba.

#Iran #Marekani #Bahrain #GlobalTVOnline #HabariZaKimataifa #MasharikiYaKati



============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com

Featured creators

Creators on the SpiderTaz Network

Become a creator →