Welcome to YTUnity

One free SpiderTaz Network account works across every network site.

FADLU DAVIS KUHUSU KUFUZU MAKUNDI KLABU BINGWA - "TUMEJIANDAA VIZURI NA LENGO NI KUVUKA"

Global TV Online Video Yesterday

Description

FADLU DAVIS KUHUSU KUFUZU MAKUNDI KLABU BINGWA - "TUMEJIANDAA VIZURI NA LENGO NI KUVUKA"

Kocha wa Yanga SC, Fadlu Davids, anafunguka kuhusu mipango na mikakati ya timu hiyo katika mbio za Ligi Kuu ya NBC (NBC Premier League) na michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League).

Fadlu anaeleza jinsi walivyojipanga kuziba pengo la alama 5, malengo ya kuvuka hatua ya makundi CAF, na maandalizi ya kikosi kuelekea mechi zijazo mara baada ya wachezaji wa timu za taifa kurejea.

Tazama mahojiano haya mwanzo hadi mwisho kupata tathmini kamili ya kocha Fadlu Davids.

#YangaSC #FadluDavids #NBCPremierLeague #CAFChampionsLeague #GlobalTVOnline


============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com

Featured creators

Creators on the SpiderTaz Network

Become a creator →