Welcome to YTUnity

One free SpiderTaz Network account works across every network site.

"DIAMOND ALITUMA WATU JELA KUNIPIGANIA" - MATONYA AMLIPUA DUDUBAYA KUMBEZA DIAMOND KUMLETA DAVIDO

Global TV Online Video Today

Description

"DIAMOND ALITUMA WATU JELA KUNIPIGANIA" - MATONYA AMLIPUA DUDUBAYA KUMBEZA DIAMOND KUMLETA DAVIDO

Katika mahojiano haya ya kipekee ndani ya Container 255 (Global TV Online), mkongwe wa muziki wa Bongo Flava, Matonya, anafunguka kuhusu mambo mazito:

• Jinsi Diamond Platnumz alivyotuma watu jela kumpigania na kumpa sapoti
• Mtazamo wake kuhusu hatua ya Diamond kumleta Davido nchini na majibu yake kwa wanaompinga
• Uhusiano wake na Tundaman na kama kuna msanii aliyemuiga mwenzake
• Nani hasa mwanzilishi wa muziki wa Bongo Flava na historia ya 'Miaka 30 ya Bongo Flava'
• Safari yake ya kimuziki na mchango mkubwa wa mama yake mzazi

#Matonya #DiamondPlatnumz #Davido #BongoFlava #GlobalTVOnline #Miaka30YaBongoFlava
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com

Featured creators

Creators on the SpiderTaz Network

Become a creator →