Description
"BASI AU LORI?"- BASI LA MSUMBIJI LAKAMATWA TANZANIA - LABEBA MZIGO KUPITA KIASI - DEREVA MATATANI..
Jeshi la Polisi Kitengo cha Usalama Barabarani (Traffic) kwa kushirikiana na mamlaka husika limefanya operesheni maalum usiku na kufanikiwa kulikamata basi la abiria lililokuwa likifanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Msingisi.
Katika ukaguzi huo, imebainika gari hilo ni bovu, linasafirisha shehena kubwa ya mizigo badala ya abiria, halina king'amuzi (VTS) tangu Februari, na halina leseni halali ya LATRA. Madereva wamechukuliwa hatua kali za kisheria huku onyo kali likitolewa kwa wamiliki na madereva wanaokwepa ukaguzi nyakati za usiku.
#GlobalTVOnline #UsalamaBarabarani #TrafikiTanzania #LATRA #HabariZaSaa
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com
