Welcome to YTUnity

One free SpiderTaz Network account works across every network site.

AMCHINJA MKEWE KWA KITU CHENYE NCHA KALI, WATUHUMIWA 157 WAHUKUMIWA POLISI WAFICHUA...

Global TV Online Video 2 days ago

Description

AMCHINJA MKEWE KWA KITU CHENYE NCHA KALI, WATUHUMIWA 157 WAHUKUMIWA POLISI WAFICHUA...


Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha kupitia kwa Kamanda wa Polisi mkoani humo, limetoa taarifa kuhusu mafanikio ya operesheni mbalimbali zilizofanyika kuanzia Oktoba hadi Novemba 2026.

Katika taarifa hiyo, watuhumiwa 157 wamehukumiwa vifungo gerezani na mahakama mbalimbali, ikiwemo vifungo vya maisha kwa makosa ya ubakaji, kulawiti na unyang'anyi wa kutumia silaha.

Pia, Jeshi la Polisi linaendelea na msako mkali kumtafuta mtuhumiwa anayedaiwa kumuua mkewe kwa kitu chenye ncha kali kufuatia ugomvi wa kifamilia kabla ya kutokomea kusikojulikana.

#PolisiArusha #Habari #GlobalTVOnline #Arusha #JeshiLaPolisi #Uhalifu


============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com

Featured creators

Creators on the SpiderTaz Network

Become a creator →