Description
ALIYEMSHAMBULIA POLISI KARIAKOO AIFIKISHWA MAHAKAMANI..
Mfanyabiashara wa Kariakoo, Peter Masi, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam leo Novemba 18, 2026, akikabiliwa na mashtaka ya kumshambulia askari polisi na kumzuia kutekeleza majukumu yake ya kikazi eneo la Kariakoo.
Fuatilia taarifa hii kwa kina kujua kilichojiri mahakamani na maelezo ya mawakili wa upande wa utetezi.
#Kariakoo #MahakamaYaIlala #JeshiLaPolisi #GlobalTVOnline #HabariZaHiviPunde #TanzaniaNews
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com
