Welcome to YTUnity

One free SpiderTaz Network account works across every network site.

AJALI YA CHIVAYO YAZUA UTATA - BLACK BOX YAPOTEA - WACHUNGUZI WAKWAMA...

Global TV Online Video Yesterday

Description

AJALI YA CHIVAYO YAZUA UTATA - BLACK BOX YAPOTEA - WACHUNGUZI WAKWAMA...

Uchunguzi kuhusu ajali mbaya ya helikopta iliyogharimu maisha ya watu nchini Zimbabwe, akiwemo mfanyabiashara maarufu Wicknell Chivayo na mkewe, umeingia katika hatua ngumu baada ya kifaa muhimu cha kurekodi mawasiliano ya chumba cha rubani (Black Box / Cockpit Voice Recorder) kutoonekana kwenye mabaki ya ndege hiyo aina ya Bell 430.

Kwa mujibu wa ripoti kutoka Idara ya Uchunguzi wa Ajali za Ndege chini ya Wizara ya Uchukuzi nchini Zimbabwe, hali mbaya ya hewa—ikiwemo ukungu na mawingu mazito—ilitajwa kuwa miongoni mwa sababu za ndege hiyo kupoteza mwelekeo kabla ya kuanguka na kushika moto katika shamba la Kudenga, eneo la Mashonaland Mashariki.


#GlobalTV #WicknellChivayo #AjaliYaHelikopta #HabariZaZimbabwe #HabariZaKimataifa


============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com

Featured creators

Creators on the SpiderTaz Network

Become a creator →