Description
ADO SHAIBU NA MNYIKA WAFIKA KISUTU - KESI YA UHAINI YA PAMBALU YAHAIRISHWA HADI NOV 24...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, pamoja na Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu, wamefika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kufuatilia mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa BAVICHA, John Pambalu.
Mahakama imeahirisha kesi hiyo hadi Novemba 24 kwa ajili ya kutajwa tena. Fuatilia taarifa kamili kushuhudia viongozi hawa wakizungumza na mwenendo mzima wa kesi hiyo mahakamani.
#GlobalTVOnline #JohnMnyika #AdoShaibu #JohnPambalu #MahakamaYaKisutu
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com
