Description
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), Prof. Palamagamba Kabudi amewaalika wananchi wa jiji la Dodoma kujitokeza kwa wingi kushiriki maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani yatakayofanyika kitaifa jijini hapo kuanzia Novemba 29 hadi Desemba 1 mwaka huu ili washerehekee mafanikio ya kupunguza maambukizi mapya ya VVU lakini pia washiriki kuweka malengo mapya ya kuhakikisha mara ifikapo 2030 UKIMWI unatokomezwa nchini.
#hussein_manane
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com
