Description
NETANYAHU AAGIZA MOSSAD KUFANYA OPERESEHENI YA SIRI YA KIJESHI DHIDI YA IRAN BILA IDF/MAWAZIRI KUJUA
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, anadaiwa kumpa maagizo Mkuu wa Shirika la Ujasusi la Israel (Mossad), Roman Gofman, kuandaa mpango wa operesheni ya siri ya kijeshi dhidi ya Iran bila kuwashirikisha mawaziri wa serikali yake wala Mkuu wa Majeshi ya Israel (IDF).
Kwa mujibu wa ripoti zilizofichuliwa, hatua hii imeibua mjadala mzito na wasiwasi wa kisiasa, ikidaiwa kuwa Netanyahu anapanga kutumia mgogoro huo kujiimarisha kisiasa. Tazama uchambuzi kamili kuelewa undani wa mazungumzo ya Gofman na maafisa wa Marekani pamoja na mgawanyiko ulioibuka ndani ya vyombo vya usalama vya Israel.
#GlobalTVOnline #Netanyahu #Mossad #Iran #Israel #HabariZaKimataifa #Netanyahu #Mossad #Israel #Iran #GlobalTVOnline #HabariZaKimataifa #MiddleEastNews
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com
