Description
KIWANDA KIKUBWA CHA BARUTI NA VILIPUZI KUJENGWA CHALINZE - MIKAKATI YAFICHULIWA!
Kiwanda kikubwa cha kutengeneza baruti na vilipuzi vinavyotumika kwenye sekta ya uchimbaji madini kinatarajiwa kujengwa eneo la Chalinze, mkoani Pwani.
Akizungumza kuhusu mradi huo mkubwa wa kizalendo, Mkurugenzi Mtendaji (CEO) Jofrey Mwaselera ameweka wazi mikakati, uwekezaji mkubwa unaofanywa, pamoja na jinsi kiwanda hiki kitakavyosaidia kuokoa mamilioni ya fedha za kigeni zilizokuwa zikitumika kuagiza vilipuzi nje ya nchi na kutoa ajira lukuki kwa wazawa.
#GlobalTVOnline #Chalinze #KiwandaChaBaruti #MadiniTanzania #HabariMpya #Uchumi #SektaYaMadini #TanzaniaMining
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com
