YTUnity logo

Welcome to YTUnity

One free SpiderTaz Network account works across every network site.

SAIDA KAROLI AFICHUA -"NILIUZA GARI ILI NIMSHTAKI DIAMOND - NILIPIGA MAGOTI MBELE YA RAIS SAMIA"

Global TV Online Podcast Today

Description

SAIDA KAROLI AFICHUA -"NILIUZA GARI ILI NIMSHTAKI DIAMOND - NILIPIGA MAGOTI MBELE YA RAIS SAMIA"


Mwimbaji nguli wa muziki wa asili nchini, Saida Karoli, amefunguka mazito na kuweka wazi siri ambazo wengi walikuwa hawazijui kuhusu safari yake ya muziki na maisha binafsi.

00:00 - Utangulizi & Muhtasari wa mahojiano
02:19 - Madai ya kustaafu muziki na changamoto alizopitia
04:08 - Familia yake na ushiriki wa watoto wake kwenye muziki
06:13 - Shughuli za maonyesho (Show za chaka kwa chaka) na mafanikio yake
09:47 - Wasanii wengine kutumia vionjo vya nyimbo zake & Masuala ya kibiashara
12:00 - Sakata la kuuza gari na shinikizo la kumshtaki Diamond Platnumz
16:50 - Nyimbo zake kutumika kwenye filamu ya Marekani (Peeples)
19:16 - Zawadi ya kiwanja kutoka kwa Rais Samia Suluhu Hassan
22:11 - Maandalizi ya tamasha lake la ujenzi (Timeless Icon)
25:16 - Simulizi ya kutumbuiza mbele ya Rais Samia na alichomwambia
30:01 - Mtazamo wake kuhusu uongozi wa sasa na kufanya muziki
31:05 - Hitimisho na matangazo ya Global TV

Kwenye mahojiano haya ya kipekee, Saida Karoli anasimulia kwa hisia kali sababu iliyomfanya auze gari lake wakati wa sakata lake na Diamond Platnumz na namna alivyokataa mpango wa kumharibia nyota huyo. Pia anafichua mazungumzo yake ya faragha na Rais Samia Suluhu Hassan, sababu ya kupiga magoti, na zawadi ya kiwanja aliyopewa.

#SaidaKaroli #DiamondPlatnumz #RaisSamia #GlobalTVOnline #BongoFlava #ExclusiveInterview


============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com

Featured creators

Creators on the SpiderTaz Network

Become a creator →