Description
MELI MBILI ZALIPULIWA HORMUZ ZIKIWA NA MAPIPA MIL. 4 YA MAFUTA-JESHI LATOA ONYO KWA NJIA ISIYO RASMl
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) limedai kuwa meli mbili kubwa za kubeba mafuta ghafi zimekumbwa na milipuko mikubwa baada ya kukanyaga mabomu ya baharini zikijaribu kupita njia iliyowekewa vizuizi katika Mlango-Bahari wa Hormuz (Strait of Hormuz).
Meli hizo zilikuwa zimebeba zaidi ya mapipa milioni 4 ya mafuta ghafi na inadaiwa zilikuwa zikipata ulinzi kutoka kwa ndege za kijeshi za Marekani wakati tukio hilo likitokea. Tazama taarifa hii kwa undani kufahamu athari za tukio hili kiusalama na katika masoko ya mafuta duniani.
#Iran #StraitOfHormuz #HabariZaKimataifa #GlobalTVOnline #Iran #StraitOfHormuz #HabariZaKimataifa #GlobalTV #GlobalHabari #BreakingNews
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com
