Description
JUMA NATURE ATEMA CHECHE - AELEZA NGOMA MPYA NA Q CHIEF, AMPONGEZA MAJANI
Gwiji wa Bongo Flava, Juma Nature (Kiroboto) amefunguka mazito kupitia mahojiano haya maalum kuhusu ujio wa wimbo wake mpya akiwa na mkongwe mwenzake, Q Chief. Juma Nature ameweka wazi sababu ya Q Chief kutokwa na machozi walipokutana studio, namna alivyoshinda siku tano bila kulala akikamilisha kazi hiyo, pamoja na siri nzito iliyopo nyuma ya kolabo hiyo ya kihistoria.
Tazama mwanzo mwisho kujionea simulizi hii ya kusisimua ya wakali hawa wa Bongo Flava!
#JumaNature #QChief #GlobalTV #GlobalTVOnline #BongoFlava #TMK #Exclusive
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com
