YTUnity logo

Welcome to YTUnity

One free SpiderTaz Network account works across every network site.

JAJI MKUU AFICHUA - "WADAI NGONO WAKITUMIA MADARAKA - VIJANA WANAOFUGWA NA WANAWAKE WATU WAZIMA"

Global TV Online Video Today

Description

JAJI MKUU AFICHUA - "WADAI NGONO WAKITUMIA MADARAKA - VIJANA WANAOFUGWA NA WANAWAKE WATU WAZIMA"


Kiongozi wa Mahakama afichua mazito akisimulia namna Jaji Eusebia Munuo alivyopambana na matumizi mabaya ya madaraka na changamoto ya rushwa ya ngono kazini, pamoja na tahadhari nzito kuhusu vijana wa kiume wanaofugwa na wanawake watu wazima badala ya kujituma kufanya kazi.

Katika hotuba hii ya kihistoria, anasimulia namna Jaji Munuo alivyomfunda alipoteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu kule Lushoto, jinsi alivyopigania wanawake kuingia kwenye mhimili wa mahakama bila ubinafsi kupitia chama cha Majaji na Mahakimu Wanawake Tanzania (TAWJA), na michango yake mikubwa ya kitaifa kuanzia Tume ya Kurekebisha Sheria hadi Bodi ya Parole.

#JajiMkuu #JajiMunuo #TAWJA #RushwaYaNgono #GlobalTVOnline #HabariTanzania #SheriaTanzania #MahakamaKuu


============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com

Featured creators

Creators on the SpiderTaz Network

Become a creator →