Description
This Eid, make the celebration even sweeter for your little ones with these easy, delicious cookies. Beautifully decorated with chocolate and jam for an extra special treat! 🥳 🎉
Ingredients
350 grams unsalted butter
500 grams all-purpose flour
60 grams icing sugar
1 whole egg
2 egg yolk
A pinch of salt
1 tsp baking powder
1 tbsp vanilla essence
Bake at 180°c for 15 minutes (don't let them turn brown)
I used white chocolate, brown chocolate, strawberry jam, and dried edible rose petals for decorations.
Tip: Add flour gradually when farming a dough (you might need less or extra.
Mahitaji
Siagi grams 350 (kikombe 1 na nusu)
Unga wa ngano grams 500 (nusu kilo)
Sukari ya unga grams 60 (kikombe 1)
Yai 1 zima
Viini vya mayai viwili
Chumvi kidogo
Baking powder kijiko kidogo 1
Arki ya vanilla kijiko cha chakula
Oka moto 180°C kwa dakika 15. Uziviwache viwe vya brown.
Nimetumia chocolate ya brown na nyeupe, jam pamoja na rose petals (mauwa special yanayotumika kwenye chakula)
Tip: weka unga kidogo kidogo ukiwa unaandaa donge (unaweza kuhitaji zaidi au usiutumie wote)