YTUnity logo

Welcome to YTUnity

One free SpiderTaz Network account works across every network site.

TAKUKURU NA NSSF WAOKOA BILIONI 2.6 ILALA - WAAJIRI WABANWA KUWASILISHA MICHANGO YA WAFANYAKAZI...

Global TV Online Video Today

Description

TAKUKURU NA NSSF WAOKOA BILIONI 2.6 ILALA - WAAJIRI WABANWA KUWASILISHA MICHANGO YA WAFANYAKAZI...

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Ilala kwa kushirikiana na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) imefanikiwa kudhibiti zaidi ya Shilingi bilioni 2.6 za michango ya wafanyakazi kutoka kwa waajiri wa sekta binafsi ambao hawakuwa wakiwasilisha fedha hizo kwa mujibu wa sheria.

Tazama taarifa kamili kutoka kwa viongozi wa TAKUKURU na Meneja wa NSSF Mkoa wa Ilala wakieleza hatua zilizochukuliwa kulinda maslahi ya wafanyakazi.

#TAKUKURU #NSSF #Habari #GlobalTVOnline #TanzaniaNews #DarEsSalaam #Ufisadi
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com

Featured creators

Creators on the SpiderTaz Network

Become a creator →