YTUnity logo

Welcome to YTUnity

One free SpiderTaz Network account works across every network site.

MELI MBILI ZAGONGA MABOMU HORMUZ NA KULIPUKA - JESHI LA IRAN LAONYA NJIA ZISIZO RASMI

Global TV Online Video Today

Description

MELI MBILI ZAGONGA MABOMU HORMUZ NA KULIPUKA - JESHI LA IRAN LAONYA NJIA ZISIZO RASMI

Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (IRGC) limeripoti kuwa meli mbili za mafuta zimegonga mabomu ya baharini na kuwaka moto zikijaribu kupita kwenye Mlango wa Bahari wa Hormuz bila idhini. Moja ya meli hizo inaripotiwa kubeba zaidi ya mapipa milioni mbili ya mafuta ghafi. Tazama taarifa hii kwa undani kufahamu chanzo cha mkasa huo, madai kuhusu mifumo ya mawasiliano kuzimwa, na hatua za kiusalama katika eneo hilo.

Tufuatilie kwa habari mpya na uchambuzi wa kina kila siku. Usisahau kubonyeza Subscribe na alama ya kengele ili usipitwe na taarifa yoyote!


#Iran #MlangoWaHormuz #HabariZaKimataifa #GlobalTVOnline



============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com

Featured creators

Creators on the SpiderTaz Network

Become a creator →