Description
HUZUNI! B2K NA DC KASESELA WAIMBA KWA UCHUNGU - "LALA PEMA PEPONI KAMANDA" - VILIO VYA TAWALA...
Mkuu wa Wilaya, Richard Kasesela, aimba kwa hisia na majonzi mazito wimbo wa maombolezo kumuaga na kumkumbuka Kamanda Eddo Tiger Mnyama. Tazama namna anavyoeleza uchungu wa kuondokewa na rafiki na mpambanaji huyu, akiwaasa ndugu na jamaa kuwa na subira katika kipindi hiki kigumu.
#KamandaEddo #EddoTigerMnyama #DCKasesela #RichardKasesela #GlobalTVOnline #Tanzia #PumzikaKwaAmani
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com
