Description
SIMANZI! MWILI WA EDO MNYAMA WAFIKISHWA MAKABURINI KWA MAZISHI
Simanzi na majonzi wakati mwili wa marehemu Edo Mnyama ulipofikishwa makaburini kwa ajili ya safari yake ya mwisho. Ndugu, jamaa, marafiki, na viongozi mbalimbali wamejitokeza kutoa heshima zao za mwisho na kumsindikiza.
#EdoMnyama #MazishiYaEdoMnyama #Simanzi #GlobalTVOnline #HabariTanzania
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com
