Description
IKULU ZANZIBAR YAPOKEA UGENI MZITO! MWINYI NA NDEJEMBI WAZUNGUMZIA MUSTAKABALI WA MUUNGANO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi, Ikulu Zanzibar.
Mazungumzo hayo yamelenga kuimarisha masuala ya Muungano, utatuzi wa changamoto mbalimbali, pamoja na ushirikiano thabiti katika uhifadhi wa mazingira baina ya pande zote mbili za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Tazama mazungumzo haya kwa undani kufahamu hatua zinazoendelea kuchukuliwa katika kudumisha umoja na maendeleo ya Taifa letu.
Usisahau KU-SUBSCRIBE, kuweka LIKE, ku-SHARE na kuacha MAONI yako hapa chini!
#IkuluZanzibar #DkHusseinMwinyi #DeogratiusNdejembi #MuunganoWaTanzania #GlobalTVOnline
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com
