Aslay - Vigezo (Official Lyric Video)

Aslay Video 1 months ago

Description

https://Aslay.lnk.to/MyWay
https://www.facebook.com/AslayOfficial
https://www.instagram.com/aslayisihaka/
https://www.tiktok.com/@aslayisiaka

"VIGEZO LYRICS

My Baby
You are special for me
yayayah yeyeye

Macho yake tu mi roho juu
Amepanda juu Tall
Kachoka bajaj kwenda kwa miguu
Nitampeleka showroom

Flat tumbo nyuma kichuguu
Mie ataniua huyuu
Sa kwanini asipende makuu
Kwanza hatozwi ushuru

Kama pesa sabuni ya roho
Basi yeye ndo roho yangu
We nyama mbichi mi kipenda roho
Nichune mimi mwandani wangu

Nakukunda nakukunda chane
Kwako break nimetulia aaah
Nichune mpaka uhakikishe nimefulia

Anything for you
Iwe kwa panga mitutu
I do I do
Everything for you
Anything for you
chochote I can do
I do I do
Everything for you

Si ana vigezo vya kuhongwa
Kwanini asihongwe
Si ana vigezo vya kuhudumiwa
Kwanini asihudumiwe
Na we si unavigezo vya kuchwambwa
Kwanini usichambwe
Si unavigezo vya kupigwa
kwanini usipigwe

Utamu wa nguru papa papa
Sio mimaji pwapwa pwapwa
Kinyurinyuri nyurikaa

Kipa langu linadaka daka
Nami ndo striker striker
Muda mwengine ni kocha
Nipo site namjengea shemeji
Yote kumfirahisha my baby
asicheat anibebe kababy
Anipe chukuchuku la kienyeji

Najidai nikiwa na yeye
Napata furaha
Nipo radhi hata ashibe yeye
Nishinde na njaa
Mi wallah kumuhonga yeye
Sikati tamaa
Kumteka labda nizikwe mie
La sivyo balaa

Anything for you
Iwe kwa panga mitutu
I do I do
Everything for you
Anything for you
chochote I can do
I do I do
Everything for you

Si ana vigezo vya kuhongwa
Kwanini asihongwe
Si ana vigezo vya kuhudumiwa
Kwa nini asihudumiwe
Na we si unavigezo vya kuchwambwa
Kwa nini usichambwe
Si unavigezo vya kupigwa
kwa nini usipigwe









































































"